Sahihi ya ma kubaliano kati ya wana siasa
Catégorie : infos langue

Sahihi ya ma kubaliano kati ya wana siasa

Ni leo ndio itasahiniwa sahihi ya mwisho kati ya wana siasa. Ni mbele Ya vyumba vyote viwili vya wana bunge  ndio kikao icho kitafanyika , na wanabunge wametiwa kama washuuda.Tutaeleza ya kama, ni baada ya huongozi wa  ma askofu ambao walifannya kazi baina ya  asili makumi tisa  na  nane, walirudisha ripoti kwa rais Joseph  Kabila kwa kumaniza asili mbili aliobaki.

Share